Nikurejeshee (I’ll Restore You) Lyrics by Neema Gospel Choir

Nikurejeshee Ill Restore You Lyrics by Neema Gospel Choir
Nikurejeshee Ill Restore You Lyrics by Neema Gospel Choir

Nikurejeshee (I’ll Restore You) Lyrics by Neema Gospel Choir

(Sung in Swahili)

Nasikia kuitwa na sauti yake (I hear His voice calling)
Anasema njoo kwangu nikurejeshe (Saying “Come to me and I’ll restore You”)
Yaliobiwa, yaliyochukuliwa na mwovu (What was stolen, and taken by the evil)
Anasema, njoo kwangu nikurejeshe (Saying “Come to me and I’ll restore You”) (Repeat)

Refrain:
Nikurejeshe! Nikurejeshe (I’ll restore you)
Anasema njoo kwangu nikurejeshe (He says “Come to me and I’ll restore You”) (Repeat)

Amani ya moyo, iliyotoweka (The heart’s peace that had disappeared)
Usiitafute pengine, kwake Yesu utaipata (Do not seek elsewhere, you will find it at Jesus’)
Furaha ya kweli, iliyotoweka (The true joy that was missing)
Usiitafute pengine, kwake Yesu utaipata (Do not seek elsewhere, you will find it at Jesus’) (Repeat)

Ndipo hayo mema, yatakujilia (Then goodness will come to you)
Atarejesha vyote adui alivyochua (He will restore all that the enemy stole)
Ndipo hayo mema, yatakujilia (Then goodness will come to you)
Atarejesha amani ya moyo na furaha ilipotea (He will restore the lost peace and heartful joy)

(Refrain)

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*