in

Bora Kushukuru (Better to Give Thanks) Lyrics by Obby Alpha

Bora Kushukuru (Better to Give Thanks) Lyrics by Obby Alpha

(Sung in Swahili)

Refrain:
Bora hata nimshukuru Mungu, kwa hivi nilivyo
(It is good to thank God for how I am)
Maana hata kuna wengine hawajafika nilipo
(For there are many who have not arrived where I am)
Bora hata nimshukuru Mungu kwa hiki nilichopata
(It is good for me to give thanks for what I have received)
Maana hata kuna wengine wamekosa kabisa
(For there are others who have lacked completely)

Tabasamu njoo, nataka nibadili (Joy come, I want to change)
Wangu mtazamo niwaze kitajiri (My vision to think of success)
Na wewe maumivu njoo, nataka nibadili (And you sorrow come, I want to change)
Wangu msimamo, niishi kijasiri (How I stand, to live courageously)

Ile habari ya kulialia, kila siku nakataa (I reject the news of crying every day)
Na kama nilisainiwa, mkataba nafuta (And if I signed it, I renege of the agreement)
Ndugu tul’owasaidia, wakaficha makucha (The brothers that we helped, had hid their claws)
Wao walipofanikiwa, wakataka kutushusha (When they succeeded, they wanted to lower us)

Bridge:
Nafuta zile (I reject the cries of): why me, why me?
Sijapata kwanini? Kwanini? (Why have I not received?)
Najawa ujasiri, ujasiri (I am filled with courage)
Nitapata na mimi, na mimi (That I shall also receive) (Repeat)

(Refrain)

Na nilipo, huenda kuna wengine wanapatamani
(It could be that there are those who desire to be where I now stand)
Zamani huko, nilishakataliwa na watu wa nyumbani
(In the past, I was rejected by my own people)
Kile kidogo, ninacholalamika lakini nimepata
(I complained of the little I had, but I had it)
Wengine huko, wamepambana wamekosa kabisa
(While others have tried and not received even a little)

Kumbe ni bora, kuridhika na hiki (Truly it is good to be satisfied with this)
Nilichopata, ndio yangu ridhiki (That I have received,  for it is my satisfaction)
Mungu ni bora, yeye hatabiriki (Good is Good, He cannot be predicted)
Amekupa hicho mi amenipa hiki (He has granted you that, and given me this)

(Bridge + Refrain)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Urukundo rw’Umukiza (The Savior’s Love) Hymn Lyrics by Papi Clever and Dorcas ft Merci Pianist

Urukundo rw’Umukiza (The Savior’s Love) Hymn Lyrics by Papi Clever and Dorcas ft Merci Pianist

Jabulani Sesingabantwana (Rejoice for We are His Children) Lyrics by Xolly Mncwango (Icilongo LeVangeli Hymn 64)

Jabulani Sesingabantwana (Rejoice for We are His Children) Lyrics by Xolly Mncwango (Icilongo LeVangeli Hymn 64)