Sikiliza (Listen) Lyrics by Israel Mbonyi

Sikiliza (Listen) Lyrics by Israel Mbonyi

Sikiliza (Listen) Lyrics by Israel Mbonyi

(Sung in Swahili)

Kwa sasa ya dunia (Now the earthly things)
Kwangu ni kama yameangikwa (For me, they are now crucified)
Yaliyokuwa faida (What was gainful to me)
Nayahesabu kama hasara (I count them all as loss)
Sikiliza dunia, ujue kwamba mimi si wako (Listen world, and know that I do not belong to you) x2

Refrain:
Nimehesabiwa haki (I have been justified)
Kwa damu yake Mtetezi (By the Blood of  The Advocate)
Jina langu limeandikwa (My name has been written)
Kwenye Kitabu cha Uzima (In the Book of Life)
Sikiliza dunia, ujue kwamba mimi si wako (Listen world, and know that I do not belong to you) x3

(From the Top)

Sasa maumivu hayanitishi (Now I am not afraid of my suffering)
Nitayasahau kwa Yesu (Because I will forget at Jesus’)
Haijadhihirika nitakavyokuwa (It has noy yet been revealed what I shall be)
Tutafanana akidhihirika (We shall be like like Him when He makes himself known)
Ewe mbingu, yakiri haya maneno (Oh world, heed these words)
Ai we! Kweli dunia Mi si wako (Ai We! Truly world, I do not belong to you)

(Refrain)

Oh… ujue kwamba mimi si wako (Oh… know that I do not belong to you) x?

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*